SIMBA SC: “Mashabiki wetu wasiingie kwenye malumbano”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu nyakati hizi ili kikosi hicho kiweze kufanya vizuri katika mashandano mengine yaliyosalia ikiwemo NBC Premier League.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *