Simulizi ya Isrey Athuman, binti mwenye miaka 26 ambaye ameishi na kifafa kwa zaidi ya miaka 10.

Takwimu zinaonyesha kuwa takriban watu milioni 50 duniani kote wanaishi na ugonjwa wa kifafa, huku nchini Tanzania zaidi ya watu milioni moja wakigundulika kuugua.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *