Tafiti zinaonyesha kuwa matokeo duni ya mwanafunzi ni dalili ya changamoto zilizoanza mapema, wakati wa kumjengea maarifa ya msingi.
Ili taifa lipate mafanikio ya kweli, ni lazima kuwekeza sasa katika stadi za msingi za kusoma, kuandika, na kuhesabu. Ungana na Faraja Sendegeya katika makala ya Ufunguo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi