VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono ampongeza kocha wa Azam FC, Florent Ibenge kwa namna alivyoibadilisha klabu hiyo na sasa imeweza kukusanya alama tisa kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Huu ndio msimu wake wa kwanza ndani ya viunga vya Azam Complex na tayari ameiwezesha kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#CAFCC #AzamFC