Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, AzamFC na Singida BS, Jumapili hii wanamaliza hatua ya makundi ya michuano hii wakiwa viwanja vya ugenini.
Matajiri wa jiji AzamFC watakuwa nchini Morocco wakikipiga na Wydad.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Singida BS watakuwa nchini Afrika Kusini wakicheza na Stellenbosch.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#Azamtvsports #CAFCC #AzamFC #SingidaBS