Wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Buyuni, iliyopo wilayani Chakechake, Pemba, wameiomba Wizara ya Elimu kuwabadilishia mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa madai kuwa hana ushirikiano na wazazi na anatumia lugha chafu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi