Zaidi ya wakazi 4,000 wa wilaya ya Kilolo wameanza kunufaika na Bima ya Afya Kwa Wote baada ya kuanza kutekelezwa kwa utaratibu huo hivi karibuni.
Huduma hiyo inayotolewa kwa inayogharimu Shilingi 150,000 kwa mwaka kwa kaya ni sehemu ya mkakati wa Taifa wa kuboresha ustawi wa jamii hususani kwa watu walio katika mazingira magumu.
Muhammad Nyaulingo amanda taarifa ifuatayo kuhusu wanufaika hao.
Mhariri @moseskwindi