ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Ule uhondo wa mchezo wa #Vishada siu yake imewadia.

Timu ya #AzamTV ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea #ZanzibarCupKaskazi2026 ikiwa ni msimu wa tano.

Mashindano haya yanahusisha michezo miwili Free Style (Mitindo Huru) na Regatta ambayo ni Racing, saa 9:00 alasiri kipute kitaanza Pwani ya kiwengwa Zanzibar.

Kila kitu kitakuwa LIVE #AzamSports3HD

#ZanzibarCupKaskazi2026

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *