ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Beki wa Yanga SC, Mohamed Hussein Zimbwe awaambia mashabiki wa Yanga kwamba wiki hii ni kumuomba Mungu ili waweze kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Ahmed Ally wa Simba SC, anasema wao ndio wenye furaha.
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya kupitia kipindi cha #Viwanjani.
#Viwanjani