🚗✨ IST Festival Tanzania inakuja kuunganisha vijana wa rika zote, kufungua milango ya biashara, kujenga mitandao (networking) na kusherehekea utamaduni wa magari kwa kiwango cha kitaifa.
Tembelea ukurasa wa @ist_festival2026 au scan QR Code kujisajili.
📍 CoCo Beach, Dar es Salaam
📅 14/02/2026
#ISTFestivalTanzania #Countdown4Days #ToyotaIST #CarCultureTZ #Networking #Biashara #VijanaNaMaendeleo 🚀