Mahakama ya mkoa wa Mwanza, hivi leo imewapandisha kizimbani kwa mara nyingine watu wawili na Taasisi ya Salamani Helth Serivice Company L.T.D, kwa mashtaka 841 yakiwemo ya uhujumu uchumi, yaliyoisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *