Wakati mradi wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi, unaotekelezwa mkoani Simiyu kwa Shilingi Bilioni 440 ukiwa umefikia asilimia 51, Wananchi wa Mkoa huo, wameiomba Serikali kuharakisha ukamilishwaji wa mradi huo ndani ya muda, ili kuepukana na adha ya kutumia maji ya chumvi yanayotokana na visima.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *