DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Hakuna atakayekosekana…”
Kocha wa TRA United Etienne Ndayiragije, amesema wachezaji wa timu hiyo wapo katika utimamu mzuri hivyo wapo tayari kwa mchezo wa kesho.
Naye mchezaji wa timu hiyo Ally Ng’anzi, amesema wamefanyia mazoezi mapungufu yaliyotokea katika mchezo uliopita na wapo tayari kwa mchezo.
Mchezo huo utachezwa kesho katika dimba la Jamhuri Dodoma saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#DodomaJijiVsTRAUnited #DodomaJiji #TRAUnited
(Feed generated with FetchRSS)