DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Lakini katika uwanja wetu wa Jamhuri tunatakiwa tuutumie vizuri…”
Kocha wa Dodoma Jiji Amani Josiah, anasema kuelekea mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya TRA United wamejiandaa vema na watatumia faida ya kuwa wenyeji kushinda katika mchezo huo.
Kwa upande wake mchezaji wa klabu hiyo Anderson Solomon, amesema wachezaji wapo tayari kwa mchezo huo na watazingatia yale waliyoelekezwa na mwalimu ili kupata ushidi.
Mchezo huo utachezwa kesho katika dimba la Jamhuri Dodoma saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#DodomaJijiVsTRAUnited #DodomaJiji #TRAUnited
(Feed generated with FetchRSS)