Ufaulu kwa wanafunzi wa elimu ya sekondari na elimu ya sekondari ya juu mkoani Kigoma umeongezeka hali iliyofanya viongozi wa mkoa huo kujivunia na kusema kuwa mafanikio hayo ni matokeo ya uboreshawaji wa miundombinu na utekelezwaji wa mikakati ya kushirikiana kati ya wazazi na walimu.

Katibu Tawala mkoani humo, Hassan Rugwa amezungumzia hali hiyo.

Taarifa ya Jacob Ruvilo.

Mhariri @Moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *