Ufugaji wa samaki wa vizimba nchini umeendelea kufungua fursa kwa vijana wengi nchini huku wataalamu wakiendelea kutafuta namna za kuifanya nyanja hiyo kuwa na tija zaidi huku bajeti ya uzalishaji samaki hao iktitajwa kuongezeka na kufikia Shilingi Milioni 150.

Wataalamu 30 kutoka serikalini na taasisi binafsi za utafiti wamekutana katika Chuo Cha Utafiti wa Viumbe Maji wilayani Bagamoyo kutoa mafunzo yatakayowezesha kuongeza tija kama anavyoripoti Mariam Songoro.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *