JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “…Maandalizi yalikuwa kwenye vitengo hivyo viwili”.
Kocha wa JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema maandalizi kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union yameenda vizuri na leo watafanya mazoezi yao ya mwisho kuweka miili ya wachezaji katika hali ya utimamau.
Kwa upande wake mchezaji wa timu hiyo Jafari Maneno, amesema wapo katika hali nzuri na wana ari kuelekea mchezo huo.
Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#JKTTanzania #CoastalUnion #JKTTanzaniaCoastalUnion
(Feed generated with FetchRSS)