“Kuna pato kubwa serikali inapoteza, kwa walio nje ya soko kwa sababu, hawana leseni inamaana hawalipii leseni, lakini kwa mujibu wa mamlaka ya mapato ni kwamba walipaswa wawe na ‘tin’ walipe kodi, kwa sababu wengi wana mauzo ghafi yanayozidi milioni 4”-Fredrick Lutindi – Mshauri Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzani
(Feed generated with FetchRSS)