Mkutano wa mwaka wa mawakala wakubwa wa Azam TV kutoka mikoa mbalimbali nchini unaendelea kufanyika jijini Tanga, ukiwaleta pamoja wadau wakuu wa huduma hiyo kwa lengo la kujadili mwelekeo wa biashara na mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma kwa mwaka 2026.
Mkutano huo unalenga, pamoja na mambo mengine, kuweka mikakati ya kuongeza ubora wa huduma kwa wateja, kuimarisha ushirikiano kati ya kampuni na mawakala wake, pamoja na kubaini fursa mpya za kukuza soko la Azam TV nchini.
Mariam Shedafa
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)