Wakazi wa kisiwa cha Ijinga kata ya Kahangara wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameanza Ujenzi wa Shule kunusuru wanafunzi Wanyama wakali wakiwemo kiboko wanaotishia usalama wa wanafunzi

Mwenyekiti wa kijiji cha Ijinga Shabsni Mtemi Shirikale Ameomba serikali iunge mkono juhudi za Wananchi za kujenga sekondari kisiwani hapo ili kuwanusuru watoto wanaovuka Ng’ambo kufuata Elimu ya sekondari kijiji cha Shinembo.

Akiongea na wananchi hao wakati wa kutoa Elimu ya kudhibiti wanyama waharibifu ikiwemo Viboko ambao wamezagaa kwa wingi katika eneo Hilo Afisa uhifadhi Tawa omary mhando amesema lengo la kutoa Elimu ya uhifadhi kwa wananchi kisiwani hapo ni kuwajengea uwezo wa namna ya kuepukana na madhara

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *