#BSSNexLevelRevolution | Ujumbe maalum wa AzamTV umewasilishwa vyema na Mkuu wa Kitengo cha Promosheni, Matukio na Media @sebathewarrior, kupitia Sunshine Radio ya Arusha, akieleza ujio wa BSS mkoani humo, ambapo kesho na keshokutwa pale SG Premium Resort, vitasalwa vipaji HD vitakavyoingia kwenye safari ya ushindi msimu huu.

Kumbuka msimu wa 16 wa BSS utaanza kuruka hewani kuanzia Machi 21, 2026 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp

#BongoStarSearch #BSSSeason16

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *