#HABARI: Watu wanne wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa gari la wagonjwa namba 7830 STM mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kisha kulibadilishia matumizi na kuwa gari la biashara ya kubeba watalii, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi wilaya ya Musoma na kusomewa mastaka matatu ikiwamo la uhujumu uchumi.
WÃ shatakiwa hao ambao wamefikishwa mbele ya Hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Khadija Masala ni pamoja na Goodluck Chacha (26) ambaye ni dereva na mkazi wa Tarime, Karume Kihendu (26) Fundi Makanika mkazi wa Arusha, Said Ramadhani (39) Fundi Makenika pamoja na Elias Joackim (53) mkazi wa Arusha.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania