Hatimaye kilio cha muda mrefu cha Ukosefu wa zahanati kwa wananchi wa Kimanga wilayani Ilala jijini dar es salaam kimesikika na Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania ametoa fedha kwaajili ya ujenzi huo ambao umeanza leo hii

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *