Huduma ya #PayLikeALocal inatajwa kuwa suluhisho bora zaidi la huduma za fedha kwa watalii na timu zitakazoshiriki AFCON2027 Afrika Mashariki.

Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande katika uzinduzi wa huduma hiyo mpya kutoka #AzamPesa

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *