Muingiliano wa watu katika nyanja mbalimbali za maendeleo unawalazimisha watu kuwasiliana ili kutimiza malengo ya muingiliano huo hali inayohimiza uelewa wa lugha zaidi ya moja kwa ajili ya kupata mafanikio.
Mhadhiri na mtaalamu wa lugha ya Kiswahili kutoka Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Abdallah Majid ‘Majid Mswahili’ anafafanua kwa kina nadharia hiyo akitoa mifano kwa wanafunzi anaokutana nao chuoni hapo.
✍Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)