#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imekamata watu wawili wakiwa na Kilogramu 363.45 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi, ambazo zimeteketezwa katika Dampo la Jiji la Arusha.
Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, Afisa Sheria wa Mamlaka hiyo Kanda ya Kaskazini Bw. Benson Mwaitenda, amesema kukamatwa kwa mirungi ni matokeo ya Operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya mkoa wa Arusha.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania