#HABARI: Mtoto mchanga wa kike anayekadiriwa kuwa na umri wa mwezi mmoja amekutwa akiwa ametelekezwa ndani ya ofisi ya kukatia tiketi ya Kampuni ya Mabasi ya Super Feo, mjini Njombe na mtu ambaye bado hajafahamika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Mahamoud Hassan, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema wanaendelea na juhudi za kumtafuta mtu aliyefanya kitendo hicho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania