#HABARI: Serikali imesema itaendelea kutumia Teknolojia ya kisasa ikiwa pamoja na Akili Unde (IA), katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kuongeza ufanisi ndani ya taasisi za Umma hapa nchini.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Mrope, ameeleza haya Jijini Dar es Salaam na kwamba ukuaji wa Teknolojia unaendelea kusaidia kutatua changamoto za wananchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania