KURASA ZA MWISHO | Mchambuzi wa soka @charlesabel24, ambaye pia ni mwandishi wa habari za michezo amebainisha namna idadi kubwa waandishi ilivyowakosha wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya chombo hicho kinachoongoza soka Afrika.
Charles anasema wajumbe hao Kamati ya Utendaji ya CAF wakiongozwa na Rais Dkt. Patrice Motsepe wamesema waandishi wa habari wa Tanzania kwa upande wa michezo, wapo vizuri.
Jana Ijumaa Rais wa CAF, alizungumza na vyombo vya habari baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
(Feed generated with FetchRSS)