Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wakuu wa nchi zinazounda Umoja wa Afrika (AU) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika ambao unaongozwa na Kaulimbiu ya Mwaka 2026 inayosema: “Kuhakikisha Upatikanaji Endelevu wa Maji na Huduma Salama za Usafi wa Mazingira ili Kufikia Malengo ya Ajenda 2063.” leo Februari 14, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.(Picha na Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *