Rais Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Italia na Nchi za Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano huo umewakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa pamoja katika nyanja za kiuchumi, nishati na masuala ya kiusalama. (Picha na Ikulu)
