RAIS Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari juu ya ufadhili endelevu wa kutokomeza Malaria pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Mkutano huo na Wanahabari ulikuwa chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Viongozi wa Afrika dhidi ya Malaria (ALMA) Rais wa Botswana, Duma Gideon Boko. (Picha na Ikulu)


