KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Azam FC, kikiondoka hotelini kwenda uwanja wa Mohamed V, jijini Casablanca, nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Wydad AC.
Mechi ni saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
#CAFCC #KombeLashirikishoAfrika #CAFConfederationCup
(Feed generated with FetchRSS)