MAKALA YA MBEYA CITY: “Kambi ilikuwa ni kambi nzuri”
Unaikumbuka ile Mbeya City ya motooooo….ya msimu wa 2012/13, 2013/14….?

Ni ile Mbeya City iliyokuwa chini ya Kocha Juma Mwambusi.

Kocha Mwambusi anafunguka siri ya ‘ukali’ wa kikosi chake enzi hizo na aina ya mazoezi waliyokuwa wanafanya.

#MbeyaCity

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *