SERIE A leo Jumapili
Big Game, saa 4:45 usiku, Napoli watakuwa nyumbani wakiwakaribisha AS Roma.
Katika msimamo wa Serie A, Napoli yupo nafasi ya tatu na alama 49 huku Roma akiwa ya tano na alama 46.
Je, Roma kumfikia Napoli ama Napoli kuzidi kuongeza mtaji wa alama
mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports 3HD.
@seriea

(Feed generated with FetchRSS)