YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayari zimefuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), ni Wananchi pekee ndio wanaosubiriwa kukamilisha ile idadi ya timu nane ambazo zinatakiwa kwenye hatua hiyo.

Yanga leo itakuwa nyumbani kucheza mechi ya mwisho ya hatua ya makundi saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD

(Imeandaliwa na @allymufti_tz)

#YangaSC #JSKabylie #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *