GAMONDI KUINOA STARS | Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema anajisikia fahari kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na kuahidi kushirikiana vema na taasisi zote za soka Tanzania, kuhakikisha Stars inaonesha soka bora na kupanda viwango katika mpira wa miguu duniani.
(Feed generated with FetchRSS)