GAMONDI KUINOA STARS | Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Kocha Miguel Gamondi amepewa uwanda mpana wa kuita vijana wote wa Kitanzania wenye vipaji wanaoishi mataifa mbalimbali, ili kuhakikisha Taifa Stars inapanda viwango.
(Feed generated with FetchRSS)