#HABARI: Baadhi ya Wananchi na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwawezesha fedha kwa wakati, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) ili waweze kutekeleza Ujenzi wa Barabara za kimkakati katika maeneo ya Vijijini na kuwawezesha wakulima kusafirisha mazao yao kwa uhakika zaidi.
Wakiongea mara baada ya Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Mhandisi Oscar Musa kuwasilisha Bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 ya matengenezo ya Barabara.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania