#HABARI: Kiongozi wa Chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema kwamba Muungano wa Upinzani kwa pamoja utarejea katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kubaini hatua zilizo chukuliwa kwa sasa kufuatia shambulizi katika Kanisa la Witima huko Othaya,ambako lilitokea akishiriki ibada.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *