#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma kupitia Chama Cha Makini, Abdallah Ngonyani ameahidi kuwalipia mahari vijana wanaotaka kuoa pamoja na kumalizia mahari kwa vijana wa kike ambao hawakumaliziwa mahari zao pindi walipokua wanaolewa.
Ngonyani ametoa kauli hiyo wakati akiomba kura katika Kata ya Mpitimbi, ambapo amesema gharama zote hizo zitagharamiwa na mfuko maalum wa jimbo, ambapo pia ameeleza kuwa baada ya kulipiwa mahari vijana watapewa hekari tano za shamba kwa ajili ya kulima.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.