#HABARI: Nyumba kadhaa katika Mitaa mbalimbali jijini Mbeya zimebomoka, kuezuliwa mapaa, na zingine zimejaa maji na tope, huku vitu mbalimbali zikiwepo samani za ndani na vyakula, zikiharibika baada ya mvua zinazoendelea kunyesha kukosa njia kutokana na kutokuwepo kwa madaraja na mifereji na kusabisha mafuriko yaliyoacha baadhi ya kaya hazina makazi wala chakula.
Tukio hilo limetokea kufuatia mvua kubwa iliyoyesha kwa muda wa saa tatu na kuleta athari Kata ya Iwambi, Iyunga, Iganzo, Isanga na Nzovwe, huku waathirika wakilia kutokuwa na chakula na kutuma ombi kwa Serikali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania