#HABARI: Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Seneta wa Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, katika eneo la Kitengela, huku Gavana huyo akiwa miongoni mwa waandamanaji akisisitiza kuwa watazidi kupigania Falsafa za aliyekuwa kiongozi wa ODM Hayati Raila Odinga.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *