Katibu Mwenezi wa CCM Kenan Kihongosi amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mhe Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimefanya mambo mengi ya kimaendeleo ambayo wananchi wanatakiwa kupongeza badala ya kubeza.

Kihongosi ameyasema hayo akiwa wilayani Nzega mkoani Tabora katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuangalia uhai wa chama ngazi ya mashina wilayani humo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *