Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu (TOSCI) imefanya ukaguzi katika maduka yanayouza mbegu katika Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, kwa lengo la kuhakikisha yanazingatia viwango na ubora uliowekwa na Serikali.
Ukaguzi huo unalenga kuthibitisha kuwa mbegu zinazouzwa zinakidhi vigezo vya kitaalamu, ili kuwasaidia wakulima kupata mbegu bora kwa bei nafuu na kuongeza tija katika uzalishaji.
Mhariri @claud_jm
#AzamTvUpdates
(Feed generated with FetchRSS)