#HABARI: Wanachama wa CHADEMA wakifanya maombi muda mfupi kabla ya kuanza kusikilizwa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wao Tundu Lissu.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.