#HABARI: Watu watatu wakazi wa Mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wamenusurika kifo baada ya nyumba kuungua moto, unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme na kuteketeza baadhi ya samani za ndani zilizokuwa zinatumika katika nyumba hiyo.

ITV imefika katika eneo la tukio hilo na kushuhudia jitihada za uokozi zikiwa zinaendelea, ambapo baadhi ya manusura wa tukio hilo wameelezea kilichotokea.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *