Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imekamata kilo 299.8 za mirungi na kuteketeza ekari 203 za mashamba ya zao hilo katika vijiji vya Marieni na Mhero, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Watu saba wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *