Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba akipiga ngoma katika eneo la Mombo wakati akihitimisha ziara yake Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.

Dk Mwigulu anaendelea na ziara mkoani humo leo kwa kutembelea wilaya ya Lushoto ambapo atazindua jengo la Oxgen Hospitali ya wilaya hiyo, kuzungumza na wananchi katika mkutano wa haradha eneo la Soni na kukagua  na kuzindua shule mpya ya Amali ya Majulai iliyopo Mlalo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *