CRDB FEDERATION CUP: Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono, amesema anatarajia kocha wa Azam SC, Florent Ibenge, kufanya mzunguko wa wachezaji na kuwapa nafasi zaidi vijana katika mashindano ya CRDB Federation Cup.

Kingamkono amesema mashindano hayo ni fursa muhimu kwa benchi la ufundi kupima kina cha kikosi na kuwajenga wachezaji chipukizi kwa michezo yenye ushindani.

#Viwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *